Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba.
Picha aliyoweka Lulu na kuibua maswali kibao kutoka kwa mashabiki wake
Kupitia
ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliweka picha ya mitego ikiwa na
caption ‘N.U.D.I’ na hivyo kuwaweka njia panda mashabiki wake.
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki:
Aubrey_bittoria. Is she engaged?
Richi_manyota. Ww lulu unatuuwa bhna
No comments:
Post a Comment