Thursday, 26 February 2015
Hizi hapa Staili mbalimbali za Mapenzi
Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya kufanya mapenzi, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mimi nasema hivii, staili nzuri ya kufanya Mapenzi inategemea na Mwenza wako, mathalani mwenzio ni mnene au ana umbile kubwa huwezi ukamwambia ulale chini
halafu akulalie juu, nadhani utakuwa unataka kuvunjwa kiuno kama sio kuteguka kabisa. Kiukweli ziwezi weka picha fulani hapa directly kwa ajili ya kulinda maadili, hivyo basi staili kulingana na umbile lako na la mwenza wako hutegemea na umri wenu pia, na ndio maana vijana hadi umri wa miaka 38 hivi ni wafanyaji wazuri wa mapenzi ukilinganishwa na watu wazima au wazee kabisa.
Labels:
BONGO CLUB,
MAPENZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment