Social Icons

Pages

Sunday, 1 March 2015

SHEMEJI YANGU ANANITEGA MPAKA IMEKUWA SHIDA..!! HAYA NDIYO MATOKEO YAKE SASA



Mimi na girlfriend wangu
tulikuwa tunapendana
sana. Tulikuwa
tumeishakuwa pamoja
kwa muda wa miaka
minne hivi, na hivyo tukaamua tuoane.
Ila kulikuwa na jambo
moja dogo lililokuwa
likinisumbua sana, nalo si
linguine bali ni mdogo
wake wa kike ambae kiukweli alikuwa mzuri
sana.
Huyo binti (shemeji
yangu) alikuwa na umri
wa miaka ishirini na moja
hivi, na muda wote alipendelea kuvaa sketi
fupi fupi na fulana
nyepesi au brauzi
zinazoonesha mwili
wake.
Na kwa jinsi kifua chake kilivyo alikuwa hahitaji
kuvaa sidiria, naamini
unapata picha ya mtu
nnayejaribu
kumzungumzia.
Pamoja na binti huyu kuwa mwembamba kiasi,
alikuwa na umbo la
ajabu, yaani kiuno chake
kiliumbwa mithiri ya
nyingu mweusi.
Tatizo ni kwamba mara nyingi binti alipokuwa
akiniona alikuwa na tabia
ya kujipitisha pitisha na

kuinama mbele yangu ili
kunionesha mtaji wake.
Kusema kweli nilikuwa navutiwa sana na uzuri
wake, na pia nilijua
alikuwa ananifanyia
makusudi maana alikuwa
hafanyi hivyo kukiwa na
watu wengine, bila shaka alikuwa ananitaka.
Siku moja binti huyo
alinipigia simu niende
nyumbani kwake
nikaangalie kadi za
mialiko ya harusi alizokuwa amechapisha,
nilipofika (wakati naingia
ndani) akaninong'oneza
kuwa ananitamani sana
na kamwe hawezi
kujizuia. Akaendelea kunieleza
kuwa anahitaji tufanye
mapenzi kabla sijafunga
ndoa na dada yake ili
nisijisikie vibaya kwamba
natoka nje ya ndoa. Nilipatwa na bumbuwazi
na hasa kutokana na
nguo za nusu uchi
alizokuwa amevaa.
Kabla sijamwambia lolote
akaniwahi na kusema "Mimi natangulia juu
(ghorofani) kwenye
chumba changu, kama
unahitaji nikupe kitu
kitamu njoo haraka
kabla mashetani yangu hayajapoa" akageuka na
kukimbilia chumbani.
Haraka nikageuka na
kuelekea mlango
mkubwa wa kutoka nje
kutaka kuelekea kwenye gari yangu.
Daaah...! Kwa mshangao
mkubwa nikaona pale
nje familia yote
imekusanyika,
waliponiona nikitoka wakanipigia makofi na
vigelegele kwa furaha,
huku wengine machozi
yakiwatoka kwa furaha.
Baba mkwe akaniambia
"Tumefurahi sana kwamba umeshinda
mtihani mdogo wa
uaminifu ulioandaliwa na
familia. Ila kiukweli unajua ni nini
hasa kilikuwa kinafata...?
Ukweli ni kwamba MDA
ULE NATOKA KULE NDANI
NILIKUWA NAENDA
KWENYE GARI KUCHUKUA CONDOM…!

No comments:

Post a Comment