Social Icons

Pages

Sunday, 1 March 2015

NJEMBA ZANASWA NA POLISI ZIKIWA NA MADEMU WAO, WAKIFANYA MAPENZI CHUMBA KIMOJA.. BOFYA HAPA KUSHUHUDIA

Tukisema dunia imekwisha watu hawaamini, mimi ninadhani ni wakati wakumgeukia Mungu sasa. Vijana hawa wamekamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi wote wakiwa chumba kimojana wasichana wao.

Najua msomaji utashtuka sana kwamba kwani kosa ni nini hapo, ila kwa wale wanajua sheria vizuri nadhani watajua kwamba hili ni kosa la jinai.

Taarifa zinasema baada ya watu kujua upuuzi uliokuwa unafanywa na wanaume hao wakiwa na wapenzi wao wote wakila uroda kwenye chumba kimoja, msamalia mwema alikwenda polisi kutoa taarifa na mara maaskari walikuja na kuwakuta vijana ndani ya mambo kitu roho inapenda(UTAMU KUNOGA). 

Kwa sasa vijana hawa wanashikiliwa na polisi tayari kwa kufikishwa mahakamani kujibu shitaka hilo. 

Miongoni mwa vijana hao ambao mmoja wapo ameweza kutambuliwa kwa jina ni Jesse Orowo Omokoh raia wanigeria.
Hapa wanavishwa pingu kama ishara ya kufaidi uhondo wakufanya mapenzi chumba kimoja

No comments:

Post a Comment