Social Icons

Pages

Tuesday, 5 May 2015

MAMBO MUHIMU YA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO WAKATI WA KUFANYA TENDO LA NDOA....HII NI KWA WAKUBWA TU BONYEZA HAPA>>>


Hapa nitaelezea mambo makuu matano ambayo yatamfanya umridhishe mke, mume au mpenzi wako wakati wa kufanya sex (tendo la ndoa)

Jambo la kwanzaKUMWANDAA MPENZI WAKO;watu wengi wanalipuudha jambo hili na kuliona kama halina maana katika sex. maadalizi ni jambo la muhimu sana katika kumfanya mpenzi wako alidhike na sex kitandana. maandalizi ya sex ni long term process.unachotakiwa kufanya mwambie kwanza mpenzi wako kuwa unataka kusex nae ili auweke mwiliwake tayali kwa kazi hiyo siyo mkilala tu unaanza kumpalamia mpenzi wako.kwa mwanamke jitahidi kuvaa nguo zitakazo mchochea mpenzi wako kusex nawewe pindi unapohitaji kusex nae au yeye anapohitaji s3x mfano sketi fupi au nguo yoyote inayoonesha maumbile yako.pia muwapo kitandani jitahidi kumwaandaa vizuri mpenzi wako kabla hujaanza kazi. swala hili si la mwanaume tu hata mwanamke unahitaji kumchezea mme wako na kuongea maneno matamu.mulize mpenzi wako ni sehemu gani ukimshika anapata hisia sio kila sehemu unashika tu zingine hana hisia nazo.

Jambo la piliKOJOA KABLA YA KUANZA TENDO LA NDOAWengi wataona kama jambo la utani buti lina umuhimu mkubwa katika s3x.Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi.Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo lakuhakikisha kuwa wametepeta kwenye uke, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo.Ikiwa mwanaume utaweza kumfanya mwanamke akojoe kabla ya kumuingilia, unajiongezea nafasi ya kumfanya afurahie lile tendo la kutiana zaidi na kukuweka miongoni mwa wanaume walio bora kabisa wa maisha yake.Hii humfanya awe tayari yuko kwenye hali ya kuhitaji kusex na hii inamaanisha kuwa inaweza kuwasaidia sana wale ambao huwa wanakabiliwa na tatizo la kukojoa haraka sana.pia mwanaume unatakiwa kukojoa kable ya s3x itakufanya uwe imara katika s3x mwanzo mwisho.

Jambo la tatuUSIWE MTU WA AIBU AIBUMwanamke au mwanaume usiwe mtu wa aibu aibu uwapo kitandani na mpenzi, mume au mke wako. wengi huliona jambo hili kama la kawaida sana ila lina nguvu sana ma madhara katika s3x. wasichana wengi wanapenda kuwa na aibu wakati wa s3x wengine huogopa eti akionekana hanaaibu ataonekana malaya. hilo sio kweli. mwanaume anahitaji kuridhishwa onesha utundu wako kitandani sio kumwonea aibu.

Jambo la nneJIFUNZE KULALAMIKA KITANDANI.Wengi wameonekana kulala tu kitandani kama mzigo hata kama anaridhika na s3x kutoka kwa mpenzi wake. ongea mwambiehapo hapo beby, ingiza sweet, na unaporidhika zaidi mwambie hivohivo ili aendelee kufanya hivohivo uridhike saidi. hii sio kwa mwanamke tu hata mwanaume ongea kumwongeza hisia mpenzi wako.

Jambo la tano na mwisho.KUMBUKA KUSHUKURU KWA MANENO MATAMU BAADA YA SEXMshukuru mpenzi wako mwambie asante mpenzi wangu, sweety leo umeniridhisha na kesho fanya hivihivi. mpenzi wako atajisikia raha na kesho atafanya hivyo hivyo utaendelea kuridhishwa na s3x. ukikaa kimya atajua labda hujaridhika na s3x.

NB

jambo hili nimeamua kulizungumzia mwishoni ila ni la muhimu sana kulitambua. usiweke muziki unao mkatishatamaa mpenzi wako. wanaume wengi wamekuwa wakiweka mziki hasa pale anapo tembelewa na mpenzi wake

No comments:

Post a Comment